Yeremia 30:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Hapana mtu wa kukutetea; kwa jeraha lako huna dawa ziponyazo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Hakuna atakayeshughulikia kisa chako, jeraha lako halina dawa, wewe hutaponyeshwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Hakuna atakayeshughulikia kisa chako, jeraha lako halina dawa, wewe hutaponyeshwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Hakuna atakayeshughulikia kisa chako, jeraha lako halina dawa, wewe hutaponyeshwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Hakuna yeyote wa kukutetea katika shauri lako, hakuna dawa ya kidonda chako, wewe hutapona. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Hakuna yeyote wa kukutetea shauri lako, hakuna dawa ya kidonda chako, wewe hutapona. Tazama sura |