Yeremia 30:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Maana BWANA asema hivi, Maumivu yako hayaponyeki, na jeraha lako ni kubwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 “Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Majeraha yako hayaponyeki, vidonda vyako havitibiki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 “Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Majeraha yako hayaponyeki, vidonda vyako havitibiki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 “Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Majeraha yako hayaponyeki, vidonda vyako havitibiki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 “Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: “ ‘Kidonda chako hakina dawa, jeraha lako haliponyeki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 “Hili ndilo asemalo bwana: “ ‘Kidonda chako hakina dawa, jeraha lako haliponyeki. Tazama sura |