Yeremia 3:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Sauti inasikiwa juu ya vilele vya milima, ni kulia kwao na maombi yao wana wa Israeli; kwa kuwa wameipotosha njia yao, wamemsahau BWANA, Mungu wao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 “Kelele zasikika juu ya vilima: Waisraeli wanalia na kuomboleza, kwa kuwa wamepotoka katika njia zao, wamenisahau mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 “Kelele zasikika juu ya vilima: Waisraeli wanalia na kuomboleza, kwa kuwa wamepotoka katika njia zao, wamenisahau mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 “Kelele zasikika juu ya vilima: Waisraeli wanalia na kuomboleza, kwa kuwa wamepotoka katika njia zao, wamenisahau mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Kilio kinasikika juu ya miinuko iliyo kame, kulia na kuomboleza kwa watu wa Israeli, kwa sababu wamepotoka katika njia zao na wamemsahau Mwenyezi Mungu, Mungu wao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Kilio kinasikika juu ya miinuko iliyo kame, kulia na kuomboleza kwa watu wa Israeli, kwa sababu wamepotoka katika njia zao na wamemsahau bwana Mwenyezi Mungu wao. Tazama sura |