Yeremia 28:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Lakini lisikilize sasa neno hili nilisemalo, masikioni mwako, na masikioni mwa watu wote, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Lakini sikiliza neno ninalokuambia wewe na watu wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Lakini sikiliza neno ninalokuambia wewe na watu wote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Lakini sikiliza neno ninalokuambia wewe na watu wote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Hata hivyo, nisikilize nikuambie yale nitakayoyasema masikioni mwako na masikioni mwa watu hawa wote: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Hata hivyo, nisikilize nikuambie yale nitakayoyasema masikioni mwako na masikioni mwa watu hawa wote: Tazama sura |