Yeremia 28:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Basi nabii Hanania akafa, mwaka uo huo, mwezi wa saba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Mwaka huohuo, mnamo mwezi wa saba, nabii Hanania akafa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Mwaka huohuo, mnamo mwezi wa saba, nabii Hanania akafa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Mwaka huohuo, mnamo mwezi wa saba, nabii Hanania akafa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Katika mwezi wa saba wa mwaka ule ule, nabii Hanania akafa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Katika mwezi wa saba wa mwaka ule ule, nabii Hanania akafa. Tazama sura |