Yeremia 28:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Nenda ukamwambie Hanania, ukisema, BWANA asema hivi, Umezivunja nira za mti; lakini badala yake utafanya nira za chuma. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 “Nenda ukamwambie Hanania kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Wewe umevunja nira ya mti, lakini mimi nitatengeneza nyingine ya chuma. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 “Nenda ukamwambie Hanania kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Wewe umevunja nira ya mti, lakini mimi nitatengeneza nyingine ya chuma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 “Nenda ukamwambie Hanania kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Wewe umevunja nira ya mti, lakini mimi nitatengeneza nyingine ya chuma. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 “Nenda ukamwambie Hanania, ‘Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: Umevunja nira ya mti, lakini badala yake utapata nira ya chuma. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 “Nenda ukamwambie Hanania, ‘Hili ndilo asemalo bwana: Umevunja nira ya mti, lakini badala yake utapata nira ya chuma. Tazama sura |