Yeremia 28:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Ndipo neno la BWANA likamjia Yeremia, baada ya Hanania, nabii, kuivunja ile nira iliyokuwa juu ya shingo ya Yeremia, kusema, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Baada ya nabii Hanania kuvunja nira kutoka shingoni mwa nabii Yeremia, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Baada ya nabii Hanania kuvunja nira kutoka shingoni mwa nabii Yeremia, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Baada ya nabii Hanania kuvunja nira kutoka shingoni mwa nabii Yeremia, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kitambo kidogo baada ya nabii Hanania kuivunja nira kutoka shingo ya nabii Yeremia, neno la Mwenyezi Mungu likamjia Yeremia: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kitambo kidogo baada ya nabii Hanania kuivunja nira kutoka shingo ya nabii Yeremia, neno la bwana likamjia Yeremia: Tazama sura |