Yeremia 25:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Nao wachungaji watakuwa hawana njia ya kukimbia, wala walio hodari katika kundi hawataokoka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Wachungaji hawatakuwa na pa kukimbilia, wala wakuu wa kundi hawataweza kutoroka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Wachungaji hawatakuwa na pa kukimbilia, wala wakuu wa kundi hawataweza kutoroka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Wachungaji hawatakuwa na pa kukimbilia, wala wakuu wa kundi hawataweza kutoroka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Wachungaji hawatakuwa na mahali pa kukimbilia, viongozi wa kundi hawatapata mahali pa kutorokea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Wachungaji hawatakuwa na mahali pa kukimbilia, viongozi wa kundi hawatapata mahali pa kutorokea. Tazama sura |