Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yeremia 23:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

38 Lakini mkisema, Mzigo wa BWANA, basi, BWANA asema hivi, Kwa sababu mwasema neno hili, “Mzigo wa BWANA”; nami nimemtuma mtu kwenu kusema, Msiseme, “Mzigo wa BWANA”;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Lakini wao wakivunja amri yangu na kusema, ‘Mzigo wa Mwenyezi-Mungu,’ wakati ambapo mimi niliwakataza wasiseme, ‘Mzigo wa Mwenyezi-Mungu,’ basi, waambie kuwa

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Lakini wao wakivunja amri yangu na kusema, ‘Mzigo wa Mwenyezi-Mungu,’ wakati ambapo mimi niliwakataza wasiseme, ‘Mzigo wa Mwenyezi-Mungu,’ basi, waambie kuwa

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Lakini wao wakivunja amri yangu na kusema, ‘Mzigo wa Mwenyezi-Mungu,’ wakati ambapo mimi niliwakataza wasiseme, ‘Mzigo wa Mwenyezi-Mungu,’ basi, waambie kuwa

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Ingawa unadai, ‘Huu ndio ujumbe wa Mwenyezi Mungu,’ asema Mwenyezi Mungu. Ulitumia maneno, ‘Huu ndio ujumbe wa Mwenyezi Mungu,’ Ingawa nilikuambia kuwa kamwe usiseme, ‘Huu ni ujumbe wa Mwenyezi Mungu.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Ingawa unadai, ‘Huu ndio mzigo wa bwana,’ hili ndilo bwana asemalo: Ulitumia maneno, ‘Huu ndio mzigo wa bwana,’ hata ingawa nilikuambia kuwa kamwe usiseme, ‘Huu ni mzigo wa bwana.’

Tazama sura Nakili

Yeremia 23:38
3 Marejeleo ya Msalaba  

Nawe utamwambia nabii hivi, BWANA amekujibu nini? Na, BWANA amesemaje?

basi, kwa hiyo angalieni, nitawasahau ninyi kabisa, nami nitawatupilia mbali, pamoja na mji huu niliowapa ninyi na baba zenu, mtoke mbele za uso wangu;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo