Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yeremia 23:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

37 Nawe utamwambia nabii hivi, BWANA amekujibu nini? Na, BWANA amesemaje?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Basi mtamwuliza nabii hivi: ‘Mwenyezi-Mungu amekujibu nini?’ au, ‘Mwenyezi-Mungu amesema nini?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Basi mtamwuliza nabii hivi: ‘Mwenyezi-Mungu amekujibu nini?’ au, ‘Mwenyezi-Mungu amesema nini?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Basi mtamwuliza nabii hivi: ‘Mwenyezi-Mungu amekujibu nini?’ au, ‘Mwenyezi-Mungu amesema nini?’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Hivi ndivyo utakavyoendelea kumuuliza nabii: ‘Mwenyezi Mungu amekujibu nini?’ au ‘Je, Mwenyezi Mungu amesema nini?’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Hivi ndivyo utakavyoendelea kumuuliza nabii: ‘bwana amekujibu nini?’ au ‘Je, bwana amesema nini?’

Tazama sura Nakili




Yeremia 23:37
3 Marejeleo ya Msalaba  

Hakika wokovu wake uko karibu na wamchao, Ndipo utukufu wake ukae katika nchi yetu.


Na mzigo wa BWANA hamtautaja tena; maana neno la kila mtu ndilo litakalokuwa mzigo wake; maana ninyi mmeyapotosha maneno ya Mungu aliye hai, ya BWANA wa majeshi, Mungu wetu.


Lakini mkisema, Mzigo wa BWANA, basi, BWANA asema hivi, Kwa sababu mwasema neno hili, “Mzigo wa BWANA”; nami nimemtuma mtu kwenu kusema, Msiseme, “Mzigo wa BWANA”;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo