Yeremia 23:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Tazama, mimi niko juu ya manabii, asema BWANA, wanaotumia ndimi zao na kusema, Yeye asema, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Kweli mimi Mwenyezi-Mungu nasema, nitawashambulia manabii wanaoropoka maneno yao wenyewe na kusema, ‘Mwenyezi-Mungu asema’. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Kweli mimi Mwenyezi-Mungu nasema, nitawashambulia manabii wanaoropoka maneno yao wenyewe na kusema, ‘Mwenyezi-Mungu asema’. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Kweli mimi Mwenyezi-Mungu nasema, nitawashambulia manabii wanaoropoka maneno yao wenyewe na kusema, ‘Mwenyezi-Mungu asema’. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 “Naam, mimi niko kinyume na manabii wanaotumia ndimi zao wenyewe na kusema, ‘Mwenyezi Mungu asema.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 “Naam, mimi niko kinyume na manabii wanaotikisa ndimi zao wenyewe na kusema, ‘bwana asema.’ Tazama sura |