Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yeremia 23:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

23 Mimi ni Mungu aliye karibu, asema BWANA, mimi si Mungu aliye mbali.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 “Mimi ni Mungu aliye karibu, si Mungu aliye mbali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 “Mimi ni Mungu aliye karibu, si Mungu aliye mbali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 “Mimi ni Mungu aliye karibu, si Mungu aliye mbali.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 “Je, mimi ni Mungu aliye karibu tu, wala si Mungu aliye pia mbali?” Mwenyezi Mungu asema.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 “Je, mimi ni Mungu aliyeko hapa karibu tu,” bwana asema, “wala si Mungu aliyeko pia mbali?

Tazama sura Nakili




Yeremia 23:23
7 Marejeleo ya Msalaba  

Basi watumwa wake mfalme wa Shamu wakamwambia, Mungu wao ni mungu wa milima; ndiyo sababu ya kutushinda sisi; lakini na tupigane nao katika nchi tambarare, na hakika tutawashinda wao.


Akaja yule mtu wa Mungu, akamwambia mfalme wa Israeli, akasema, BWANA asema hivi, Kwa sababu Washami wamesema, BWANA ni Mungu wa milima wala si Mungu wa nchi tambarare; basi nitawatia makutano haya yote walio wengi mkononi mwako, nanyi mtajua ya kuwa ndimi BWANA.


Ni nani aliye mfano wa BWANA, Mungu wetu aketiye juu;


ili wamtafute Mungu, ingawa ni kwa kupapasapapasa, wakamwone, ijapokuwa hawi mbali na kila mmoja wetu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo