Yeremia 23:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Hasira ya BWANA haitarudi, hata atakapokwisha kuyatimiza makusudi ya moyo wake; katika siku za mwisho mtalifahamu neno hili kabisa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Hasira ya Mwenyezi-Mungu haitarudi nyuma, mpaka atakapotekeleza na kukamilisha matakwa ya moyo wake. Siku zijazo mtayaelewa vema mambo hayo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Hasira ya Mwenyezi-Mungu haitarudi nyuma, mpaka atakapotekeleza na kukamilisha matakwa ya moyo wake. Siku zijazo mtayaelewa vema mambo hayo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Hasira ya Mwenyezi-Mungu haitarudi nyuma, mpaka atakapotekeleza na kukamilisha matakwa ya moyo wake. Siku zijazo mtayaelewa vema mambo hayo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Hasira ya Mwenyezi Mungu haitageuka hadi amelitimiza kusudi la moyo wake. Siku zijazo mtalifahamu kwa wazi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Hasira ya bwana haitageuka mpaka amelitimiza kusudi la moyo wake. Siku zijazo mtalifahamu kwa wazi. Tazama sura |