Yeremia 21:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Tazama, mimi niko juu yako, Ewe ukaaye bondeni, na kwenye jabali la uwandani, asema BWANA ninyi mnaosema, Ni nani atakayeshuka apigane nasi? Au, Ni nani atakayeingia katika makao yetu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Tazama, mimi sasa napambana nanyi mnaoishi bondeni, mnaokaa kwenye mwamba wa tambarare, nyinyi mnaosema, ‘Nani atathubutu kutushambulia? Nani awezaye kuingia katika makazi yetu?’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Tazama, mimi sasa napambana nanyi mnaoishi bondeni, mnaokaa kwenye mwamba wa tambarare, nyinyi mnaosema, ‘Nani atathubutu kutushambulia? Nani awezaye kuingia katika makazi yetu?’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Tazama, mimi sasa napambana nanyi mnaoishi bondeni, mnaokaa kwenye mwamba wa tambarare, nyinyi mnaosema, ‘Nani atathubutu kutushambulia? Nani awezaye kuingia katika makazi yetu?’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Niko kinyume nawe, ee Yerusalemu, wewe uishiye juu ya bonde hili kwenye uwanda wa juu wa miamba, asema Mwenyezi Mungu, wewe usemaye, “Ni nani awezaye kuja kinyume chetu? Nani ataingia mahali pa kimbilio letu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Niko kinyume nawe, ee Yerusalemu, wewe uishiye juu ya bonde hili kwenye uwanda wa juu wa miamba, asema bwana, wewe usemaye, “Ni nani awezaye kuja kinyume chetu? Nani ataingia mahali pa kimbilio letu?” Tazama sura |