Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yeremia 21:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Na kuhusu habari za nyumba ya mfalme wa Yuda, lisikieni neno la BWANA,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 “Utaiambia jamaa ya mfalme wa Yuda: Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 “Utaiambia jamaa ya mfalme wa Yuda: Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 “Utaiambia jamaa ya mfalme wa Yuda: Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 “Zaidi ya hayo, iambie nyumba ya mfalme ya Yuda, ‘Sikia neno la Mwenyezi Mungu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 “Zaidi ya hayo, ambia nyumba ya mfalme ya Yuda, ‘Sikia neno la bwana,

Tazama sura Nakili




Yeremia 21:11
6 Marejeleo ya Msalaba  

Mwambie mfalme, na mama ya mfalme, Nyenyekeeni na kuketi chini; Kwa maana vilemba vyenu vimeshuka, naam, taji la utukufu wenu.


ukawaambie, Lisikieni neno la BWANA, enyi wafalme wa Yuda, na Yuda wote, nanyi wenyeji wote wa Yerusalemu, ninyi mwingiao kwa malango haya;


Ee nyumba ya Daudi, BWANA asema hivi, Hukumuni hukumu ya haki asubuhi, mkawaponye waliotekwa nyara na mkono wake aliyewadhulumu, ghadhabu yangu isije ikatoka kama moto, ikaunguza, asiweze mtu yeyote kuuzima, kwa sababu ya uovu wa matendo yenu.


BWANA akasema hivi, Shuka nyumbani kwa mfalme wa Yuda, ukaseme neno hili huko,


Basi, BWANA asema hivi, kuhusu habari za Yehoyakimu, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda; Hawatamwombolezea, wakisema, Aa! Ndugu yangu; au, Aa! Dada yangu; wala hawatamlilia, wakisema, Aa! Bwana wangu; au, Aa! Utukufu wake.


Nikasema, Tafadhali sikieni, enyi vichwa vya Yakobo, mnaoitawala nyumba ya Israeli. Je! Haiwapasi ninyi kujua hukumu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo