Yeremia 2:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Basi, kwa ajili ya hayo nitateta nanyi, asema BWANA, nami nitateta na watoto wa watoto wenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mwenyezi-Mungu asema, “Kwa hiyo, mimi nitawalaumu nyinyi, na nitawalaumu wazawa wenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mwenyezi-Mungu asema, “Kwa hiyo, mimi nitawalaumu nyinyi, na nitawalaumu wazawa wenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mwenyezi-Mungu asema, “Kwa hiyo, mimi nitawalaumu nyinyi, na nitawalaumu wazawa wenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 “Kwa hiyo naleta tena mashtaka dhidi yako,” asema Mwenyezi Mungu. “Nami nitaleta mashtaka dhidi ya watoto wa watoto wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 “Kwa hiyo naleta tena mashtaka dhidi yako,” asema bwana. “Nami nitaleta mashtaka dhidi ya watoto wa watoto wako. Tazama sura |