Yeremia 2:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 BWANA asema hivi, Baba zenu waliona dhuluma gani kwangu, hata wakafarakana nami, wakafuata ubatili, nao wakawa ubatili? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Wazee wenu waliona kosa gani kwangu hata wakanigeuka na kuniacha, wakakimbilia miungu duni, hata nao wakawa watu duni? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Wazee wenu waliona kosa gani kwangu hata wakanigeuka na kuniacha, wakakimbilia miungu duni, hata nao wakawa watu duni? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Wazee wenu waliona kosa gani kwangu hata wakanigeuka na kuniacha, wakakimbilia miungu duni, hata nao wakawa watu duni? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi Mungu: “Je, baba zenu waliona kosa gani kwangu, hata wakatangatanga mbali nami hivyo? Walifuata sanamu batili, nao wenyewe wakawa batili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Hivi ndivyo asemavyo bwana: “Je, baba zenu waliona kosa gani kwangu, hata wakatangatanga mbali nami hivyo? Walifuata sanamu zisizofaa, nao wenyewe wakawa hawafai. Tazama sura |