Yeremia 2:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Lisikieni neno la BWANA, ninyi nyumba ya Yakobo, na ninyi, jamaa zote za nyumba ya Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi wazawa wa Yakobo. Sikilizeni enyi jamaa zote za wazawa wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi wazawa wa Yakobo. Sikilizeni enyi jamaa zote za wazawa wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi wazawa wa Yakobo. Sikilizeni enyi jamaa zote za wazawa wa Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Sikia neno la Mwenyezi Mungu, ee nyumba ya Yakobo, nanyi nyote jamaa za nyumba ya Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Sikia neno la bwana, ee nyumba ya Yakobo, nanyi nyote jamaa za nyumba ya Israeli. Tazama sura |