Yeremia 2:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Ee kizazi litazameni neno la BWANA. Je! Nimekuwa jangwa kwa Israeli? Au nchi yenye giza kuu? Mbona watu wangu wanasema, Sisi tumetoroka, hatutaki kuja kwako tena? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Enyi watu! Sikilizeni ninachosema mimi Mwenyezi-Mungu: Je, nimekuwa jangwa kwa Israeli au nchi yenye giza nene? Kwa nini basi watu wangu waseme: ‘Sisi tu watu huru; hatutakuja kwako tena!’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Enyi watu! Sikilizeni ninachosema mimi Mwenyezi-Mungu: Je, nimekuwa jangwa kwa Israeli au nchi yenye giza nene? Kwa nini basi watu wangu waseme: ‘Sisi tu watu huru; hatutakuja kwako tena!’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Enyi watu! Sikilizeni ninachosema mimi Mwenyezi-Mungu: Je, nimekuwa jangwa kwa Israeli au nchi yenye giza nene? Kwa nini basi watu wangu waseme: ‘Sisi tu watu huru; hatutakuja kwako tena!’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 “Enyi wa kizazi hiki, tafakarini neno la Mwenyezi Mungu: “Je, nimekuwa jangwa kwa Israeli au nchi ya giza nene? Kwa nini watu wangu wanasema, ‘Sisi tuko huru kuzurura, hatutarudi kwako tena’? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 “Enyi wa kizazi hiki, tafakarini neno la bwana: “Je, nimekuwa jangwa kwa Israeli au nchi ya giza kuu? Kwa nini watu wangu wanasema, ‘Sisi tuko huru kuzurura, hatutarudi kwako tena’? Tazama sura |