Yeremia 19:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Hivyo ndivyo nitakavyopatenda mahali hapa, asema BWANA, nao wakaao humo, hata kufanya mji huu kuwa kama Tofethi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Hivyo ndivyo nitakavyopatenda mahali hapa na wakazi wake; nitaufanya mji huu kama Tofethi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Hivyo ndivyo nitakavyopatenda mahali hapa na wakazi wake; nitaufanya mji huu kama Tofethi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Hivyo ndivyo nitakavyopatenda mahali hapa na wakazi wake; nitaufanya mji huu kama Tofethi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Hivi ndivyo nitakavyopafanya mahali hapa na kwa wale wanaoishi ndani yake, asema Mwenyezi Mungu. Nitaufanya mji huu kama Tofethi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Hivi ndivyo nitakavyopafanya mahali hapa na kwa wale waishio ndani yake, asema bwana. Nitaufanya mji huu kama Tofethi. Tazama sura |