Yeremia 17:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 “Moyo wa mtu ni mdanganyifu kuliko vitu vyote; hauwezi kuponywa, hakuna awezaye kuuelewa! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 “Moyo wa mtu ni mdanganyifu kuliko vitu vyote; hauwezi kuponywa, hakuna awezaye kuuelewa! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 “Moyo wa mtu ni mdanganyifu kuliko vitu vyote; hauwezi kuponywa, hakuna awezaye kuuelewa! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Moyo ni mdanganyifu kuliko vitu vyote, ni mwovu kupita kiasi. Ni nani awezaye kuujua? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Moyo ni mdanganyifu kuliko vitu vyote, ni mwovu kupita kiasi. Ni nani awezaye kuujua? Tazama sura |