Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yeremia 17:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea BWANA, Ambaye BWANA ni tumaini lake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 “Abarikiwe mtu anayemtegemea Mwenyezi-Mungu, mtu ambaye Mwenyezi-Mungu ndiye tegemeo lake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 “Abarikiwe mtu anayemtegemea Mwenyezi-Mungu, mtu ambaye Mwenyezi-Mungu ndiye tegemeo lake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 “Abarikiwe mtu anayemtegemea Mwenyezi-Mungu, mtu ambaye Mwenyezi-Mungu ndiye tegemeo lake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 “Lakini amebarikiwa mtu anayemtumaini Mwenyezi Mungu, ambaye matumaini yake ni katika Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 “Lakini amebarikiwa mtu ambaye tumaini lake ni katika bwana, ambaye matumaini yake ni katika bwana.

Tazama sura Nakili




Yeremia 17:7
16 Marejeleo ya Msalaba  

Wamtumainio BWANA ni kama mlima Sayuni, Ambao hautikisiki, wakaa milele.


Heri ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake, Na tumaini lake ni kwa BWANA, Mungu wake,


Shikeni yaliyo bora, asije akafanya hasira Nanyi mkapotea njiani, Kwa kuwa hasira yake huwaka upesi; Heri wote wanaomkimbilia.


Wao wameinama na kuanguka, Bali sisi tumeinuka na kusimama.


Onjeni muone ya kuwa BWANA yu mwema; Heri mtu yule anayemtumainia.


Heri aliyemfanya BWANA kuwa tumaini lake, Wala hakuwaelekea wenye kiburi, Wala hao wanaogeukia uongo.


Maana ndiwe tegemeo langu, Ee Bwana MUNGU, Tumaini langu tokea ujana wangu.


Ee BWANA wa majeshi, Heri mwanadamu anayekutumaini Wewe.


Atakayelitafakari neno atapata mema; Na kila amwaminiye BWANA ana heri.


Kwa ajili ya hayo BWANA atangoja, ili awaonee huruma, na kwa ajili ya hayo atatukuzwa, ili awarehemu; kwa maana BWANA ni Mungu wa hukumu; heri wote wamngojao.


kuwaagizia hao waliao katika Sayuni, wapewe taji la maua badala ya majivu, mafuta ya furaha badala ya maombolezo, vazi la sifa badala ya roho nzito; wapate kuitwa miti ya haki, iliyopandwa na BWANA, ili atukuzwe.


Kwa maana ni yakini, nitakuokoa, wala hutaanguka kwa upanga, lakini nafsi yako itakuwa kama nyara kwako; kwa kuwa ulinitumaini mimi, asema BWANA.


Nebukadneza akanena, akasema, Na ahimidiwe Mungu wa Shadraka, na Meshaki, na Abednego; aliyemtuma malaika wake, akawaokoa watumishi wake waliomtumaini, wakaligeuza neno la mfalme, na kujitoa miili yao ili wasimtumikie mungu mwingine, wala kumwabudu, ila Mungu wao wenyewe.


Lakini nitabakiza ndani yako watu walioonewa na maskini, nao watalitumainia jina la BWANA.


Nasi katika huyo tupate kuwa sifa ya utukufu wake, sisi tuliotangulia kumwekea Kristo tumaini letu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo