Yeremia 17:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Ee mlima wangu wa uwandani, nitatoa mali zako na hazina zako zote ziwe nyara, na mahali pako palipoinuka, kwa sababu ya dhambi, katika mipaka yako yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 na juu ya milima katika sehemu tambarare. Mali yenu na hazina zenu zote nitazitoa zitekwe nyara kulipia dhambi zenu mlizotenda kila mahali nchini mwenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 na juu ya milima katika sehemu tambarare. Mali yenu na hazina zenu zote nitazitoa zitekwe nyara kulipia dhambi zenu mlizotenda kila mahali nchini mwenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 na juu ya milima katika sehemu tambarare. Mali yenu na hazina zenu zote nitazitoa zitekwe nyara kulipia dhambi zenu mlizotendakila mahali nchini mwenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Mlima wangu katika nchi pamoja na utajiri na hazina zako zote nitavitoa viwe nyara, pamoja na mahali pako pa juu pa kuabudia kwa sababu ya dhambi katika nchi yako yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Mlima wangu katika nchi pamoja na utajiri na hazina zako zote nitazitoa ziwe nyara, pamoja na mahali pako pa juu pa kuabudia miungu kwa sababu ya dhambi katika nchi yako yote. Tazama sura |