Yeremia 17:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Na itakuwa, kama mkinisikiliza mimi kwa bidii, asema BWANA, msiingize mzigo wowote katika mlango wa mji huu siku ya sabato, bali muitakase siku ya sabato, bila kufanya kazi yoyote siku hiyo; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 “Lakini mkinisikiliza mimi Mwenyezi-Mungu, mkaacha kuingiza mzigo wowote kupitia malango ya mji huu siku ya Sabato, wala kufanya kazi siku hiyo, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 “Lakini mkinisikiliza mimi Mwenyezi-Mungu, mkaacha kuingiza mzigo wowote kupitia malango ya mji huu siku ya Sabato, wala kufanya kazi siku hiyo, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 “Lakini mkinisikiliza mimi Mwenyezi-Mungu, mkaacha kuingiza mzigo wowote kupitia malango ya mji huu siku ya Sabato, wala kufanya kazi siku hiyo, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Lakini mkiwa waangalifu kunitii, asema Mwenyezi Mungu, nanyi msipoleta mzigo wowote kupitia malango ya mji huu wakati wa Sabato, lakini mkaitakasa siku ya Sabato kwa kutofanya kazi siku hiyo, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Lakini mkiwa waangalifu kunitii, asema bwana, nanyi msipoleta mzigo wowote kupitia malango ya mji huu wakati wa Sabato, lakini mkaitakasa siku ya Sabato kwa kutofanya kazi siku hiyo, Tazama sura |