Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yeremia 17:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 Tazama, wao waniambia, Neno la BWANA liko wapi? Na lije, basi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Tazama watu wanavyoniambia: “Jambo alilotishia Mwenyezi-Mungu liko wapi? Acha basi lije!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Tazama watu wanavyoniambia: “Jambo alilotishia Mwenyezi-Mungu liko wapi? Acha basi lije!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Tazama watu wanavyoniambia: “Jambo alilotishia Mwenyezi-Mungu liko wapi? Acha basi lije!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Wao huendelea kuniambia, “Liko wapi neno la Mwenyezi Mungu? Sasa na litimie!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Wao huendelea kuniambia, “Liko wapi neno la bwana? Sasa na litimie!”

Tazama sura Nakili




Yeremia 17:15
7 Marejeleo ya Msalaba  

Wasema, Na afanye haraka, aihimize kazi yake, tupate kuiona; na likaribie shauri lake aliye Mtakatifu wa Israeli, tupate kuliona.


Mwanadamu, ni mithali gani hii mliyo nayo katika nchi ya Israeli, mkisema, Siku hizo zinakawia na maono yote hayatimizwi.


Ole wenu! Ninyi mnaoitamani siku ya BWANA; kwa nini kuitamani siku ya BWANA? Ni giza, wala si nuru.


Mmemchokesha BWANA kwa maneno yenu. Lakini ninyi mwasema, Tumemchokesha kwa maneno gani? Kwa kuwa mwasema, Kila atendaye mabaya ni mwema machoni pa BWANA, naye huwafurahia watu hao, au, Mungu mwenye haki yuko wapi?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo