Yeremia 15:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Umenikataa mimi, asema BWANA, umerudi nyuma; ndiyo maana nimenyosha mkono wangu juu yako, na kukuangamiza; nimechoka kwa kughairi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Nyinyi mmenikataa mimi, nasema mimi Mwenyezi-Mungu; nyinyi mmeniacha mkarudi nyuma. Hivyo nimenyosha mkono kuwaangamiza, kwa kuwa nimechoka kuwahurumia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Nyinyi mmenikataa mimi, nasema mimi Mwenyezi-Mungu; nyinyi mmeniacha mkarudi nyuma. Hivyo nimenyosha mkono kuwaangamiza, kwa kuwa nimechoka kuwahurumia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Nyinyi mmenikataa mimi, nasema mimi Mwenyezi-Mungu; nyinyi mmeniacha mkarudi nyuma. Hivyo nimenyosha mkono kuwaangamiza, kwa kuwa nimechoka kuwahurumia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Umenikataa mimi,” asema Mwenyezi Mungu. “Unazidi kukengeuka. Hivyo nitanyoosha mkono wangu juu yako na kukuangamiza, siwezi kuendelea kukuonea huruma. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Umenikataa mimi,” asema bwana. “Unazidi kukengeuka. Hivyo nitanyoosha mkono wangu juu yako na kukuangamiza, siwezi kuendelea kukuonea huruma. Tazama sura |