Yeremia 15:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Maana ni nani atakayekuhurumia, Ee Yerusalemu? Au ni nani atakayekulilia? Au ni nani atakayegeuka upande ili kuuliza habari za hali yako? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 “Ni nani atakayewahurumia, enyi watu wa Yerusalemu? Ni nani atakayeomboleza juu yenu? Nani atasimama kuuliza habari zenu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 “Ni nani atakayewahurumia, enyi watu wa Yerusalemu? Ni nani atakayeomboleza juu yenu? Nani atasimama kuuliza habari zenu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 “Ni nani atakayewahurumia, enyi watu wa Yerusalemu? Ni nani atakayeomboleza juu yenu? Nani atasimama kuuliza habari zenu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 “Ni nani atakayekuhurumia, ee Yerusalemu? Ni nani atakayeomboleza kwa ajili yako? Ni nani atakayesimama ili kuuliza kuhusu hali yako? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 “Ni nani atakayekuhurumia, ee Yerusalemu? Ni nani atakayeomboleza kwa ajili yako? Ni nani atakayesimama ili kuuliza kuhusu hali yako? Tazama sura |
Na baada ya hayo, asema BWANA, nitamtia Sedekia, mfalme wa Yuda, na watumishi wake, na watu wote waliosalia ndani ya mji huu, baada ya tauni ile, na upanga, na njaa, katika mkono wa Nebukadneza, mfalme wa Babeli, na katika mikono ya adui zao, na katika mikono ya watu wale wanaowatafuta roho zao; naye atawaua kwa ukali wa upanga; hatawaachilia, wala hatawahurumia, wala hatawarehemu.