Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yeremia 15:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Sikuketi katika mkutano wao wanaojifurahisha, wala sikufurahi, niliketi peke yangu kwa sababu ya mkono wako; kwa maana umenijaza ghadhabu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Sikuketi pamoja na wanaostarehe, wala sikufurahi pamoja nao. Niliketi peke yangu nimelemewa nguvu yako; kwa maana ulinijaza hasira yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Sikuketi pamoja na wanaostarehe, wala sikufurahi pamoja nao. Niliketi peke yangu nimelemewa nguvu yako; kwa maana ulinijaza hasira yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Sikuketi pamoja na wanaostarehe, wala sikufurahi pamoja nao. Niliketi peke yangu nimelemewa nguvu yako; kwa maana ulinijaza hasira yako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Kamwe sikuketi katika kundi la wafanyao sherehe, wala kamwe sikujifurahisha pamoja nao; niliketi peke yangu kwa sababu mkono wako ulikuwa juu yangu, na wewe ulikuwa umenijaza hasira.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Kamwe sikuketi katika kundi la wafanyao sherehe, wala kamwe sikujifurahisha pamoja nao; niliketi peke yangu kwa sababu mkono wako ulikuwa juu yangu, na wewe ulikuwa umenijaza hasira.

Tazama sura Nakili

Yeremia 15:17
13 Marejeleo ya Msalaba  

Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wenye dhambi; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.

Nakesha, tena nimekuwa kama shomoro Aliye peke yake juu ya nyumba.

angalia, nimekuweka leo juu ya mataifa na juu ya falme, ili kung'oa, na kubomoa, na kuharibu, na kuangamiza; ili kujenga na kupanda.

Bali kama hamtaki kusikia, roho yangu italia kwa siri, kwa sababu ya kiburi chenu; na jicho langu litalia sana na kutoka machozi mengi, kwa kuwa kundi la BWANA limechukuliwa mateka.

Wala usiingie ndani katika nyumba yenye karamu, kuketi pamoja nao, na kula na kunywa.

Lakini nimejaa ghadhabu ya BWANA; nimechoka kwa kujizuia; imwageni juu ya watoto walio njiani, na juu ya kusanyiko la vijana pia; maana hata mume atatwaliwa pamoja na mkewe, mzee pamoja na yeye aliyetimiza siku zake.

Na akae peke yake na kunyamaza kimya; Kwa sababu Bwana ameweka hayo juu yake.

Huu ndio mwisho wa jambo lile. Nami, Danieli, fikira zangu zilinifadhaisha, na uso wangu ulinibadilika; lakini nililiweka jambo hilo moyoni mwangu.

Ndipo yule malaika wa BWANA akajibu, akasema, Ee BWANA wa majeshi, hadi lini utakataa kuurehemu Yerusalemu, na miji ya Yuda uliyoikasirikia miaka hii sabini?

Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo