Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yeremia 15:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Je! Mtu aweza kuvunja chuma, naam, chuma kitokacho kaskazini, au shaba?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Je, mtu aweza kuvunja chuma, chuma kitokacho kaskazini, au shaba?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Je, mtu aweza kuvunja chuma, chuma kitokacho kaskazini, au shaba?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Je, mtu aweza kuvunja chuma, chuma kitokacho kaskazini, au shaba?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 “Je, mtu aweza kuvunja chuma, chuma kinachotoka kaskazini, au avunje shaba?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 “Je, mtu aweza kuvunja chuma, chuma kitokacho kaskazini, au shaba?

Tazama sura Nakili




Yeremia 15:12
7 Marejeleo ya Msalaba  

Au je! Wewe una mkono kama Mungu? Waweza kutoa ngurumo kwa sauti kama yeye?


Ole wake ashindanaye na Muumba wake! Kigae kimoja katika vigae vya dunia! Je! Udongo umwambie yeye aufinyangaye; Unatengeneza nini? Au chombo ulichotengeneza hakina mikono?


Maana BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Nimetia nira ya chuma juu ya shingo ya mataifa haya yote, ili wamtumikie Nebukadneza, mfalme wa Babeli nao watamtumikia; nami nimempa wanyama wa nchi pia.


Kisha mpaka wenu wa upande wa kaskazini utakuwa ni huu; kutoka bahari kubwa mtajiandikia mlima wa Hori;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo