Yeremia 14:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Naam, kulungu naye uwandani amezaa, Akamwacha mwanawe kwa kuwa hakuna majani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Hata kulungu porini anamwacha mtoto wake mchanga, kwa sababu hakuna nyasi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Hata kulungu porini anamwacha mtoto wake mchanga, kwa sababu hakuna nyasi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Hata kulungu porini anamwacha mtoto wake mchanga, kwa sababu hakuna nyasi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Hata kulungu kondeni anaacha kinda lake lililotoka kutotolewa kwa sababu hakuna majani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Hata kulungu mashambani anamwacha mtoto wake aliyezaliwa wakati huo huo kwa sababu hakuna majani. Tazama sura |