Yeremia 13:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Basi nikaenda, nikakificha karibu na mto Frati, kama BWANA alivyoniamuru. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Basi, nikaenda na kukificha kikoi hicho karibu na mto Eufrate, kama Mwenyezi-Mungu alivyoniamuru. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Basi, nikaenda na kukificha kikoi hicho karibu na mto Eufrate, kama Mwenyezi-Mungu alivyoniamuru. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Basi, nikaenda na kukificha kikoi hicho karibu na mto Eufrate, kama Mwenyezi-Mungu alivyoniamuru. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Ndipo nikaenda na kuuficha ule mkanda huko Frati, kama Mwenyezi Mungu alivyoniamuru. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Ndipo nikaenda na kuuficha ule mkanda huko Frati, kama bwana alivyoniamuru. Tazama sura |