Yeremia 13:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Twaa kitambaa kile ulichonunua, kilicho viunoni mwako, kisha ondoka, nenda mpaka mto Frati, ukaufiche huko katika pango la jabali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 “Kichukue kikoi ulichonunua na ambacho umejifunga kiunoni, uende kwenye mto Eufrate na kukificha katika pango mwambani.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 “Kichukue kikoi ulichonunua na ambacho umejifunga kiunoni, uende kwenye mto Eufrate na kukificha katika pango mwambani.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 “Kichukue kikoi ulichonunua na ambacho umejifunga kiunoni, uende kwenye mto Eufrate na kukificha katika pango mwambani.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 “Chukua mkanda ulionunua ambao umeuvaa kiunoni mwako, uende sasa Frati uufiche ndani ya ufa mdogo kwenye mwamba.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 “Chukua mkanda ulionunua ambao umeuvaa kiunoni mwako, uende sasa Frati uufiche ndani ya ufa mdogo kwenye mwamba.” Tazama sura |