Yeremia 13:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Basi nikanunua kitambaa cha kitani sawasawa na neno la BWANA, nikajivika viunoni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Basi, nikaenda, nikanunua kikoi kama alivyoniagiza Mwenyezi-Mungu, nikajifunga kiunoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Basi, nikaenda, nikanunua kikoi kama alivyoniagiza Mwenyezi-Mungu, nikajifunga kiunoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Basi, nikaenda, nikanunua kikoi kama alivyoniagiza Mwenyezi-Mungu, nikajifunga kiunoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Kwa hiyo nikanunua mkanda, kama Mwenyezi Mungu alivyoniagiza, nikajivika kiunoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Kwa hiyo nikanunua mkanda, kama bwana alivyoniagiza, nikajivika kiunoni. Tazama sura |