Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yeremia 13:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 Sikilizeni ninyi, kategeni masikio yenu; msifanye kiburi; maana BWANA amenena.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Enyi Waisraeli, sikilizeni kwa makini, msiwe na majivuno maana Mwenyezi-Mungu anasema nanyi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Enyi Waisraeli, sikilizeni kwa makini, msiwe na majivuno maana Mwenyezi-Mungu anasema nanyi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Enyi Waisraeli, sikilizeni kwa makini, msiwe na majivuno maana Mwenyezi-Mungu anasema nanyi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Sikieni na mzingatie, msiwe na kiburi, kwa kuwa Mwenyezi Mungu amenena.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Sikieni na mzingatie, msiwe na kiburi, kwa kuwa bwana amenena.

Tazama sura Nakili




Yeremia 13:15
11 Marejeleo ya Msalaba  

Kila mwenye moyo wa kiburi ni chukizo kwa BWANA; Hakika, hatakosa adhabu.


Sikieni, enyi mbingu, tega sikio, Ee nchi, kwa maana BWANA amenena; Nimewalisha watoto na kuwalea, nao wameniasi.


Ni nani miongoni mwenu atakayetega sikio lake kuyasikia hayo? Atakayesikiliza na kusikia kwa wakati ujao?


BWANA asema hivi, Jinsi iyo hiyo nitakiharibu kiburi cha Yuda, na kiburi kikuu cha Yerusalemu.


Lakini jueni hakika kwamba, mkiniua, mtajiletea juu yenu damu isiyo na hatia itakuwa juu yenu, na juu ya mji huu, na juu ya wenyeji wake; kwa maana ni kweli BWANA amenituma kwenu, kuwaambieni yote mliyoyasikia.


Sikieni haya, enyi wazee; Sikilizeni, enyi wenyeji wote wa nchi. Je! Mambo haya yamekuwako katika siku zenu, Au katika siku za baba zenu?


naye BWANA akanitwaa, katika kufuatana na kundi; BWANA akaniambia, Nenda uwatabirie watu wangu Israeli.


Jidhilini mbele za Bwana, naye atawakuza.


Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo