Yeremia 12:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Umewapanda, naam, wametia mizizi, wanakua, naam, wanazaa matunda; katika vinywa vyao u karibu, bali katika mioyo yao u mbali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Unawaotesha nao wanaota; wanakua na kuzaa matunda. Wanakutaja kwa maneno yao, lakini mioyo yao iko mbali nawe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Unawaotesha nao wanaota; wanakua na kuzaa matunda. Wanakutaja kwa maneno yao, lakini mioyo yao iko mbali nawe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Unawaotesha nao wanaota; wanakua na kuzaa matunda. Wanakutaja kwa maneno yao, lakini mioyo yao iko mbali nawe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Umewapanda, nao wameota, wanakua na kuzaa matunda. Daima u midomoni mwao, lakini mbali na mioyo yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Umewapanda, nao wameota, wanakua na kuzaa matunda. Daima u midomoni mwao, lakini mbali na mioyo yao. Tazama sura |