Yeremia 12:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Wachungaji wengi wameliharibu shamba langu la mizabibu, wamelikanyaga fungu langu chini ya miguu yao, wamefanya fungu langu zuri kuwa jangwa la ukiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Wachungaji wengi wameharibu shamba langu la mizabibu, wamelikanyagakanyaga chini lililo mali yangu; shamba langu zuri wamelifanya jangwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Wachungaji wengi wameharibu shamba langu la mizabibu, wamelikanyagakanyaga chini lililo mali yangu; shamba langu zuri wamelifanya jangwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Wachungaji wengi wameharibu shamba langu la mizabibu, wamelikanyagakanyaga chini lililo mali yangu; shamba langu zuri wamelifanya jangwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Wachungaji wengi wataliharibu shamba langu la mizabibu na kulikanyaga shamba langu; watalifanya shamba langu zuri kuwa jangwa la ukiwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Wachungaji wengi wataliharibu shamba langu la mizabibu na kulikanyaga shamba langu; watalifanya shamba langu zuri kuwa jangwa la ukiwa. Tazama sura |
angalieni, nitatuma watu na kuzitwaa jamaa zote za upande wa kaskazini, asema BWANA, nami nitatuma ujumbe kwa Nebukadneza, mfalme wa Babeli, mtumishi wangu, nami nitawaleta juu ya nchi hii, na juu yao wakaao ndani yake, na juu ya mataifa haya yote yaliyoko pande zote; nami nitawaangamiza kabisa, na kuwafanya kitu cha kushangaza, na kitu cha kuzomewa, na ukiwa wa daima.