Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yeremia 11:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

18 Tena BWANA akanijulisha haya, nami nikayajua; ndipo uliponionesha matendo yao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Mwenyezi-Mungu alinijulisha, nami nikaelewa; Mwenyezi-Mungu alinijulisha njama zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Mwenyezi-Mungu alinijulisha, nami nikaelewa; Mwenyezi-Mungu alinijulisha njama zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Mwenyezi-Mungu alinijulisha, nami nikaelewa; Mwenyezi-Mungu alinijulisha njama zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Kwa sababu Mwenyezi Mungu alinifunulia na kunionesha hila zao mbaya, na waliyokuwa wanayafanya niliyafahamu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Kwa sababu bwana alinifunulia hila zao mbaya, nilizifahamu, kwa kuwa wakati ule alinionyesha yale waliyokuwa wanayafanya.

Tazama sura Nakili




Yeremia 11:18
8 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Elisha alikuwa akikaa nyumbani mwake, na wazee wakikaa pamoja naye; na mfalme akamtuma mtu wa mbele yake; lakini hata kabla ya kufika kwake yule aliyetumwa, akawaambia wazee, Je! Mwaona jinsi huyu mwana wa mwuaji alivyotuma aniondolee kichwa changu? Angalieni, huyo aliyetumwa akifika, fungeni mlango, mkamzuie mlangoni; je! Sauti ya miguu ya bwana wake haiko nyuma yake?


Lakini mimi nilikuwa kama mwana-kondoo mpole, achukuliwaye kwenda kuchinjwa; wala sikujua ya kuwa wamefanya mashauri kinyume changu, wakisema, Na tuuharibu mti pamoja na matunda yake, na tumkatilie mbali atoke katika nchi ya walio hai, ili jina lake lisikumbukwe tena.


Na kama mtu akiwaambia neno, semeni, Bwana anawahitaji; naye atawatuma mara moja.


Lakini, ikiwa kweli ya Mungu imezidi kudhihirisha utukufu wake kwa sababu ya uongo wangu, mbona mimi ningali nahukumiwa kuwa ni mwenye dhambi?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo