Yeremia 10:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Hapana hata mmoja aliye kama wewe, Ee BWANA; wewe ndiwe uliye mkuu, na jina lako ni kuu katika uweza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Ee Mwenyezi-Mungu, hakuna aliye kama wewe; wewe ni mkuu na nguvu yako yajulikana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Ee Mwenyezi-Mungu, hakuna aliye kama wewe; wewe ni mkuu na nguvu yako yajulikana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Ee Mwenyezi-Mungu, hakuna aliye kama wewe; wewe ni mkuu na nguvu yako yajulikana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Hakuna aliye kama wewe, Ee Mwenyezi Mungu; wewe ni mkuu, jina lako ni lenye nguvu na uweza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Hakuna aliye kama wewe, Ee bwana; wewe ni mkuu, jina lako ni lenye nguvu katika uweza. Tazama sura |