Yeremia 10:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Mfano wao ni mfano wa mtende, kazi ya cherehani, hawasemi; hawana budi kuchukuliwa, kwa sababu hawawezi kwenda. Usiwaogope; kwa maana hawawezi kutenda uovu, wala hawana uwezo wa kutenda mema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Vinyago vyao ni kama vinyago vya kutishia ndege katika shamba la matango, havina uwezo wa kuongea; ni lazima vibebwe maana haviwezi kutembea. Msiviogope vinyago hivyo, maana haviwezi kudhuru, wala haviwezi kutenda lolote jema.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Vinyago vyao ni kama vinyago vya kutishia ndege katika shamba la matango, havina uwezo wa kuongea; ni lazima vibebwe maana haviwezi kutembea. Msiviogope vinyago hivyo, maana haviwezi kudhuru, wala haviwezi kutenda lolote jema.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Vinyago vyao ni kama vinyago vya kutishia ndege katika shamba la matango, havina uwezo wa kuongea; ni lazima vibebwe maana haviwezi kutembea. Msiviogope vinyago hivyo, maana haviwezi kudhuru, wala haviwezi kutenda lolote jema.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Sanamu zao ni kama kinyago kilichowekwa katika shamba la matango kutishia ndege, nazo haziwezi kuongea; na kwa kuwa haziwezi kutembea zinabebwa. Usiziogope. Haziwezi kudhuru wala kutenda lolote jema.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Sanamu zao ni kama sanamu iliyowekwa shambani la matango kutishia ndege nazo haziwezi kuongea; sharti zibebwe sababu haziwezi kutembea. Usiziogope; haziwezi kudhuru, wala kutenda lolote jema.” Tazama sura |