Yeremia 10:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 BWANA asema hivi, Msijifunze njia ya mataifa, wala msishangae kwa sababu ya ishara za mbinguni; maana mataifa hushangaa kwa sababu ya ishara hizo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Msijifunze mienendo ya mataifa mengine, wala msishangazwe na ishara za mbinguni; yaacheni mataifa mengine yashangazwe nazo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Msijifunze mienendo ya mataifa mengine, wala msishangazwe na ishara za mbinguni; yaacheni mataifa mengine yashangazwe nazo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Msijifunze mienendo ya mataifa mengine, wala msishangazwe na ishara za mbinguni; yaacheni mataifa mengine yashangazwe nazo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: “Usijifunze njia za mataifa wala usitishwe na ishara katika anga, ingawa mataifa yanatishwa nazo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Hili ndilo asemalo bwana: “Usijifunze njia za mataifa wala usitishwe na ishara katika anga, ingawa mataifa yanatishwa nazo. Tazama sura |