Yakobo 4:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Basi, jiwekeni chini ya Mungu; mpingeni Ibilisi naye atawakimbieni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Basi, jiwekeni chini ya Mungu; mpingeni Ibilisi naye atawakimbieni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Basi, jiwekeni chini ya Mungu; mpingeni Ibilisi naye atawakimbieni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Basi mtiini Mungu. Mpingeni ibilisi, naye atawakimbia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Basi mtiini Mwenyezi Mungu. Mpingeni ibilisi, naye atawakimbia. Tazama sura |
ya kuwa utafukuzwa mbali na wanadamu, na makao yako yatakuwa pamoja na wanyama wa mwituni, nawe utalazimishwa kula majani kama ng'ombe, nawe utanyeshewa na umande wa mbinguni, na nyakati saba zitapita juu yako; hata utakapojua ya kuwa Aliye Juu ndiye anayemiliki katika ufalme wa wanadamu, naye humpa yeye amtakaye, awaye yote.