Yakobo 3:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Je! Chemchemi katika jicho moja hutoa maji matamu na maji machungu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Je, chemchemi moja yaweza kutoa maji matamu na maji machungu pamoja? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Je, chemchemi moja yaweza kutoa maji matamu na maji machungu pamoja? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Je, chemchemi moja yaweza kutoa maji matamu na maji machungu pamoja? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Je, chemchemi moja inaweza kutoa katika tundu moja maji matamu na maji ya chumvi? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Je, chemchemi yaweza kutoa katika tundu moja maji matamu na maji ya chumvi? Tazama sura |