Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yakobo 1:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 Maana mtu kama yule asidhani ya kuwa atapokea kitu kwa Bwana.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7-8 Kwa hiyo mtu aliye na mashaka, mwenye nia mbili na asiye na msimamo katika mwenendo wake wote, asidhani ya kwamba atapata chochote kile kutoka kwa Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7-8 Kwa hiyo mtu aliye na mashaka, mwenye nia mbili na asiye na msimamo katika mwenendo wake wote, asidhani ya kwamba atapata chochote kile kutoka kwa Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7-8 Kwa hiyo mtu aliye na mashaka, mwenye nia mbili na asiye na msimamo katika mwenendo wake wote, asidhani ya kwamba atapata chochote kile kutoka kwa Bwana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Mtu kama huyo asidhani ya kuwa atapata kitu chochote kutoka kwa Bwana Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Mtu kama huyo asidhani ya kuwa atapata kitu chochote kutoka kwa Bwana Isa.

Tazama sura Nakili

Yakobo 1:7
7 Marejeleo ya Msalaba  

Sadaka ya mtu mbaya ni chukizo kwa BWANA; Bali maombi ya mtu mnyofu ni furaha yake.

Sadaka ya wasio haki ni chukizo; Si zaidi sana ailetapo mwenye nia mbaya!

Nanyi mkunjuapo mikono yenu, nitaficha macho yangu nisiwaone; naam, mwombapo maombi mengi, sitasikia; mikono yenu imejaa damu.

Ila na aombe kwa imani, pasipo mashaka yoyote; maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari linalochukuliwa na upepo, na kupeperushwa huku na huku.

Mtu wa nia mbili husitasita katika njia zake zote.

Hata mwaomba, wala hampati kwa sababu mwaomba vibaya, ili mvitumie kwa tamaa zenu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo