Yakobo 1:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Maana hujiangalia, kisha huenda zake, mara akasahau jinsi alivyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Hujiangalia mwenyewe, kisha huenda zake, na mara husahau jinsi alivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Hujiangalia mwenyewe, kisha huenda zake, na mara husahau jinsi alivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Hujiangalia mwenyewe, kisha huenda zake, na mara husahau jinsi alivyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 na baada ya kujiona alivyo, huenda zake na husahau upesi jinsi alivyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 na baada ya kujiona alivyo, huenda zake na mara husahau jinsi alivyo. Tazama sura |