Yakobo 1:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Tamaa ikiiva huzaa dhambi; nayo dhambi ikikomaa huzaa kifo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Tamaa ikiiva huzaa dhambi; nayo dhambi ikikomaa huzaa kifo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Tamaa ikiiva huzaa dhambi; nayo dhambi ikikomaa huzaa kifo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Basi ile tamaa mbaya ikishachukua mimba huzaa dhambi, nayo ile dhambi ikikomaa huzaa mauti. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Basi ile tamaa mbaya ikishachukua mimba, huzaa dhambi, nayo ile dhambi ikikomaa, huzaa mauti. Tazama sura |