Wimbo Ulio Bora 8:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Msiyachochee mapenzi, au kuyaamsha, Hadi yatakapokuwa tayari. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Nawasihini, enyi wanawake wa Yerusalemu, msiyachochee wala kuyaamsha mapenzi, hadi hapo wakati wake utakapofika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Nawasihini, enyi wanawake wa Yerusalemu, msiyachochee wala kuyaamsha mapenzi, hadi hapo wakati wake utakapofika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Nawasihini, enyi wanawake wa Yerusalemu, msiyachochee wala kuyaamsha mapenzi, hadi hapo wakati wake utakapofika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Binti za Yerusalemu, ninawaagiza: msichochee wala kuamsha mapenzi hata yatakapotaka yenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Binti za Yerusalemu, ninawaagiza: msichochee wala kuamsha mapenzi hata yatakapotaka yenyewe. Tazama sura |