Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Wimbo Ulio Bora 8:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 Mkono wake wa kushoto ungekuwa chini ya kichwa changu, Nao wa kulia ungenikumbatia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Mkono wako wa kushoto u chini ya kichwa changu, na mkono wako wa kulia wanikumbatia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Mkono wako wa kushoto u chini ya kichwa changu, na mkono wako wa kulia wanikumbatia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Mkono wako wa kushoto u chini ya kichwa changu, na mkono wako wa kulia wanikumbatia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Mkono wake wa kushoto uko chini ya kichwa changu, na mkono wake wa kuume unanikumbatia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Mkono wake wa kushoto uko chini ya kichwa changu, na mkono wake wa kuume unanikumbatia.

Tazama sura Nakili

Wimbo Ulio Bora 8:3
6 Marejeleo ya Msalaba  

Mkono wake wa kushoto uko chini ya kichwa changu, Nao wa kulia unanikumbatia!

Ningekuongoza nyumbani mwa mamangu, Naye angenifundisha; Ningekunywesha divai iliyokolea, Divai mpya ya mkomamanga wangu.

Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Msiyachochee mapenzi, au kuyaamsha, Hadi yatakapokuwa tayari.

Naye akaniambia, Neema yangu yakutosha; maana uweza wangu hutimilika katika udhaifu. Basi nitajisifia udhaifu wangu kwa furaha nyingi, ili uweza wa Kristo ukae juu yangu.

Mungu wa milele ndiye makazi yako, Na mikono ya milele i chini yako. Na mbele yako amemsukumia mbali adui; Akasema, Angamiza.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo