Wimbo Ulio Bora 8:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Shamba langu la mizabibu, lililo langu mimi, liko mbele yangu. Basi, Sulemani, wewe uwe na elfu zako, Na hao wayalindao matunda yake wapewe mia mbili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Shamba langu la mizabibu ni shamba langu mwenyewe, naam, ni shamba langu binafsi! Basi, Solomoni, wewe ukae na elfu zako za fedha, na kila mlinzi wa matunda akae na mia mbili zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Shamba langu la mizabibu ni shamba langu mwenyewe, naam, ni shamba langu binafsi! Basi, Solomoni, wewe ukae na elfu zako za fedha, na kila mlinzi wa matunda akae na mia mbili zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Shamba langu la mizabibu ni shamba langu mwenyewe, naam, ni shamba langu binafsi! Basi, Solomoni, wewe ukae na elfu zako za fedha, na kila mlinzi wa matunda akae na mia mbili zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Lakini shamba langu la mizabibu ambalo ni langu mwenyewe ni langu kutoa; hizo shekeli elfu moja ni kwa ajili yako, ee Sulemani, na shekeli mia mbili ni kwa ajili ya wale wanaotunza matunda yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Lakini shamba langu la mizabibu ambalo ni langu mwenyewe ni langu kutoa; hizo shekeli 1,000 ni kwa ajili yako, ee Sulemani, na shekeli mia mbili ni kwa ajili ya wale wanaotunza matunda yake. Tazama sura |