Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wimbo Ulio Bora 7:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 Jinsi yalivyo mazuri, yalivyo matamu, Mapenzi katikati ya anasa!

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Tazama ulivyo mzuri na wa kuvutia! Ewe mpenzi, mwali upendezaye!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Tazama ulivyo mzuri na wa kuvutia! Ewe mpenzi, mwali upendezaye!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Tazama ulivyo mzuri na wa kuvutia! Ewe mpenzi, mwali upendezaye!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Tazama jinsi ulivyo mzuri na unavyopendeza, ee pendo, kwa uzuri wako!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Tazama jinsi ulivyo mzuri na unavyopendeza, ee pendo, kwa uzuri wako!

Tazama sura Nakili




Wimbo Ulio Bora 7:6
10 Marejeleo ya Msalaba  

Basi sasa upeleke watu, unikusanyie jamii ya Israeli katika mlima wa Karmeli, na wale manabii wa Baali mia nne na hamsini, na wale manabii wa Ashera mia nne, walao chakula mezani pa Yezebeli.


Naye mfalme atautamani uzuri wako, Maana ndiye bwana wako, nawe umsujudie.


Hua wangu, mafichoni mwa jabali, Katika sitara za, magenge Nitazame uso wako, nisikie sauti yako, Maana sauti yako ni tamu na uso wako unapendeza.


Jinsi pendo lako lilivyo nzuri, dada yangu, Bibi arusi, ni nzuri kupita divai; Na harufu ya marhamu yako Yapita manukato ya kila namna.


Mpenzi wangu, u mzuri kwa ujumla, Wala ndani yako hamna kasoro.


Mimi ni wake mpendwa wangu, Na shauku yake ni juu yangu.


Kimo chako kimefanana na mtende, Na matiti yako na vichala.


BWANA, Mungu wako, yuko katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia kwa furaha kuu, Atakutuliza katika upendo wake, Atakufurahia kwa kuimba.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo