Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wimbo Ulio Bora 7:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 Matiti yako mawili ni kama wanapaa wawili, Ambao ni mapacha ya paa;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Matiti yako ni kama paa mapacha, ni kama swala wawili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Matiti yako ni kama paa mapacha, ni kama swala wawili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Matiti yako ni kama paa mapacha, ni kama swala wawili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Matiti yako ni kama wana-paa wawili, mapacha wa paa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Matiti yako ni kama wana-paa wawili, mapacha wa paa.

Tazama sura Nakili




Wimbo Ulio Bora 7:3
5 Marejeleo ya Msalaba  

Naftali ni ayala aliyefunguliwa; Anatoa maneno mazuri.


Ni ayala apendaye na paa apendezaye; Matiti yake yakutoshe sikuzote; Na kwa upendo wake ushangilie daima.


Matiti yako mawili ni kama wanapaa wawili, Nyuma ya barakoa yako. Ambao ni mapacha ya paa; Wakilisha penye nyinyoro.


Meno yako kama kundi la kondoo, Wakipanda kutoka kuoshwa; Ambao kila mmoja amezaa mapacha, Wala hakuna aliyefiwa kati yao.


Kitovu chako ni kama bakuli la mviringo, Na isikose divai iliyochanganyika; Tumbo lako ni mfano wa chungu ya ngano, Iliyozungukwa na ugo wa nyinyoro;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo